Utvidet returrett til 31. januar 2025

Maisha ya Kutotii na Maisha ya Kutii(Swahili Edition)

Om Maisha ya Kutotii na Maisha ya Kutii(Swahili Edition)

Katika kitabu hiki kumewekwa taswira ya kupingana, maisha ya Farao, aliyekosa kutii neno la Mungu, na maisha ya Musa aliyeishi maisha ya utiifu. Pia kina upendo wa Mungu ambaye kwa huruma zake zisizo na mwisho hutujuza njia ya wokovu kupitia kwa kusherehekea Pasaka, sheria ya tohara, na maana ya Siku Kuu ya Mikate Isiyochachwa. Farao alishuhudia uwezo wa Mungu lakini bado akakosa kumtii, na hivyo akaanguka katika hali isiyoweza kurudishwa nyuma. Lakini Waisraeli walikuwa salama kutoka kwa mabaa yote kwa sababu walimtii Mungu.

Vis mer
  • Språk:
  • Swahili
  • ISBN:
  • 9791126312542
  • Bindende:
  • Paperback
  • Sider:
  • 174
  • Utgitt:
  • 19. februar 2024
  • Dimensjoner:
  • 140x9x210 mm.
  • Vekt:
  • 200 g.
  • BLACK NOVEMBER
Leveringstid: 2-4 uker
Forventet levering: 19. desember 2024

Beskrivelse av Maisha ya Kutotii na Maisha ya Kutii(Swahili Edition)

Katika kitabu hiki kumewekwa taswira ya kupingana, maisha ya Farao, aliyekosa kutii neno la Mungu, na maisha ya Musa aliyeishi maisha ya utiifu. Pia kina upendo wa Mungu ambaye kwa huruma zake zisizo na mwisho hutujuza njia ya wokovu kupitia kwa kusherehekea Pasaka, sheria ya tohara, na maana ya Siku Kuu ya Mikate Isiyochachwa. Farao alishuhudia uwezo wa Mungu lakini bado akakosa kumtii, na hivyo akaanguka katika hali isiyoweza kurudishwa nyuma. Lakini Waisraeli walikuwa salama kutoka kwa mabaa yote kwa sababu walimtii Mungu.

Brukervurderinger av Maisha ya Kutotii na Maisha ya Kutii(Swahili Edition)



Gjør som tusenvis av andre bokelskere

Abonner på vårt nyhetsbrev og få rabatter og inspirasjon til din neste leseopplevelse.