Norges billigste bøker

Roho, Nafsi, na Mwili (II)(Swahili Edition)

Om Roho, Nafsi, na Mwili (II)(Swahili Edition)

Katika kitabu chake cha The Art of War, Sun Tzu anasema kwamba, ukijijua mwenyewe na ukimjua adui yako, utashinda vita vyovyote. Mahubiri yanayohusu,"Roho, Nafsi, na Mwili" yanatupa mwangaza kuhusu sehemu ya ndani zaidi ya 'uenyewe' wetu na yanatufundisha kuhusu chanzo cha wanadamu. Mara tu tunapojifunza na kuelewa ujumbe huu vizuri, tutaweza pia kumwelewa mtu yeyote yule. Pia tutajifunza njia za kutusaidia kushinda nguvu za giza, ambazo zimekuwa zikituathiri, ili tuweze kuishi maisha ya Kikristo yaliyo ya ushindi.

Vis mer
  • Språk:
  • Swahili
  • ISBN:
  • 9791126312573
  • Bindende:
  • Paperback
  • Utgitt:
  • 20. februar 2024
  • Dimensjoner:
  • 140x210x11 mm.
  • Vekt:
  • 236 g.
Leveringstid: 2-4 uker
Forventet levering: 1. mai 2025

Beskrivelse av Roho, Nafsi, na Mwili (II)(Swahili Edition)

Katika kitabu chake cha The Art of War, Sun Tzu anasema kwamba, ukijijua mwenyewe na ukimjua adui yako, utashinda vita vyovyote. Mahubiri yanayohusu,"Roho, Nafsi, na Mwili" yanatupa mwangaza kuhusu sehemu ya ndani zaidi ya 'uenyewe' wetu na yanatufundisha kuhusu chanzo cha wanadamu. Mara tu tunapojifunza na kuelewa ujumbe huu vizuri, tutaweza pia kumwelewa mtu yeyote yule. Pia tutajifunza njia za kutusaidia kushinda nguvu za giza, ambazo zimekuwa zikituathiri, ili tuweze kuishi maisha ya Kikristo yaliyo ya ushindi.

Brukervurderinger av Roho, Nafsi, na Mwili (II)(Swahili Edition)

Finn lignende bøker
Boken Roho, Nafsi, na Mwili (II)(Swahili Edition) finnes i følgende kategorier:

Gjør som tusenvis av andre bokelskere

Abonner på vårt nyhetsbrev og få rabatter og inspirasjon til din neste leseopplevelse.